๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐.
๐ ๐๐๐ฐ๐๐ณ๐จ ๐๐๐ฉ๐๐ง๐ ๐๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฉ๐๐ง๐๐ฐ๐.
โข Kiwango cha juu kimewekwa mbele yenu vijana, na Mungu anawaalika mwingie katika huduma halisi kwa ajili Yake. Vijana wenye mioyo ya dhati wanaopenda kujifunza katika shule ya Kristo, wanaweza kufanya kazi kubwa kwa ajili ya Bwana, ikiwa tu wataitii amri ya Jemadari iliyosikika tangu zamani mpaka wakati wetu, "Simama kama mwanaume, uwe hodari."
โข Inawapasa kuwa watu wanaotembea na Mungu kwa unyenyekevu, watakaosimama mbele Yake katika utu mliopewa na Mungu, mkiwa safi, bila uchafu unaotokana na tamaa zinazoharibu kizazi chetu.
Avery Isaack
Hapus Komentar
Apakah Anda yakin ingin menghapus komentar ini?