𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐎.
📚 𝐌𝐚𝐰𝐚𝐳𝐨 𝐌𝐚𝐩𝐚𝐧𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨𝐩𝐞𝐧𝐝𝐰𝐚.
• Kiwango cha juu kimewekwa mbele yenu vijana, na Mungu anawaalika mwingie katika huduma halisi kwa ajili Yake. Vijana wenye mioyo ya dhati wanaopenda kujifunza katika shule ya Kristo, wanaweza kufanya kazi kubwa kwa ajili ya Bwana, ikiwa tu wataitii amri ya Jemadari iliyosikika tangu zamani mpaka wakati wetu, "Simama kama mwanaume, uwe hodari."
• Inawapasa kuwa watu wanaotembea na Mungu kwa unyenyekevu, watakaosimama mbele Yake katika utu mliopewa na Mungu, mkiwa safi, bila uchafu unaotokana na tamaa zinazoharibu kizazi chetu.
Like
Comment
Share
Avery Isaack
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?