#usafi
Waumini wa kanisa la waadventista wa Sabato, pamoja na waislamu siku ya jana Tarehe 23/3/2024 walishiriki zoezi la USAFI wa pamoja katika eneo la soko la Mwaloni pamoja na Magomeni- Kirumba. "Dini mbalimbali, amani na Upendo" kauli mbiu iliyowaunganisha kushiriki huduma za kijamii.
Shelembi Mussa
মন্তব্য মুছুন
আপনি কি এই মন্তব্যটি মুছে ফেলার বিষয়ে নিশ্চিত?