Kuna ile hatua ya kwanza ya kutumia Sherehani weeee inasumbua sana, ila ucjali chuo cha NAVTC kinarahisisha sana.
#officialamshaafya #navtc #ashaafya
Chuo cha Nyanza Adventist College 🎓 (NAVTC) Bado kinaendelea kupokea wanafunzi wa kozi za muda mfupi na mrefu kwa wanafunzi wa fani ta Ushonaji
#officialamshaafya #navtc #ashaafya
Ulikuwa mtihani wa kupika jamani watoto wanajua kupika hawa wewe mwanao je
#amshaafya #navtc #officialamshaafya